Mahusiano
Ndoa
0
Nilikuwa nimechoka sana kutokana na yaliyotokea,hivyo nikiwa kitandani nilianza kuhisi usingizi mzito ukininyemelea.Mimi bila hila nikauruhusu uuchukue mwili wangu.Nikalala fofofo!
Kuja kushtuka ilikuwa yapata saa kumi na moja kama na nusu hivi.Kuamka nikakuta wanafunzi wenzangu bwenini kila mmoja na pilika pilika zake.Nami bila hajizi nikavuta kumbukumbu na kukumbuka kuwa nilitakiwa kumuona mwalimu wangu wa hesabu saa kumi.Sasa ni saa kumi na mbili kasoro!Niache hadi kesho? Hapana, nitaonekana nimemdharau! Nikavuta track yangu na t-shirt na kushika mbio hadi nyumbani kwa mwalimu.Kulikuwa hakuna umbali sana tokea sehemu mabweni ya wavulana yalipo.Hivyo haikuwa tabu mimi kufika mapema.
Ngo...ngo...ngo...ngo...ngo...ngo...Niligonga nyumba ya mwalimu."Karibu fungua mlango upite...subiri kidogo hapo sebuleni mpendwa am coming" ilikuwa sauti ya mwalimu R iliyojaa bashasha........Niliingia huku nikiwa na wasiwasi na kupitiliza moja kwa moja hadi lilipo sofa upande wa pili huku nikiwaza kama mwalimu alijua kuwa ni mimi mwanafunzi wake niliyekumbwa na dhahama muda mfupi uliopita!.Mwalimu alionekana kama yupo bafuni anaoga.Nilianza kudodosa macho hapa na pale ndani ya ile nyumba na kulionekana kama mwalimu R.......alikuwa akiishi peke yake wakati ule.Pembeni mwa mlango kulikuwa na jiko la gesi na chini kulikuwa na jiko la mkaa huku ikionekana kama kuna kitu kilikuwa kikipikwa jikoni.Sikutaka kujishughulisha kujua ni nini! Pembeni nilipoketi mimi kulikuwa na TV aina ya HITACH huku ikiwa na king'amuzi cha G TV
"Shost yani kwa................kha ni wewe! umefwata nini hapa?" Yalikuwa ni maneno ya mwalimu R...... ambayo yalionyesha wazi kuwa alikuwa akimtarajia mgeni ambaye ni shost wake na sii mimi.Mwalimu alikuwa akitoka bafuni huku amejifunga taulo fupi na kijitaulo kingine kidogo alikuwa akifutia nywele. Sote tulibaki na mshangao huku yeye akiwa kasimama kwenye mlango ambao ni wakutokea nje huku ukiwa umefungwa.Nilisimama huku nikitetemeka na kushindwa kuongea huku nikitazama chini.Nilijitahidi kuinua kichwa ili nimtazame mwalimu na yeye kwa aibu akatazama chini.
Wakati naendelea kumtazama mwalimu nilikuwa nikishindana na hisia zilizoanza kuinyemelea nafsi yangu. Nilianza kuviamuru viungo vyangu vya uzazi kumuheshimu mwalimu! "Huyu ni kama mlezi wangu" Nilivionya viungo vyangu vya uzazi! Aaaaah wapi! huyu sii mama yako, ndugu yako wala mwanaume mwenzako! Huyu sii kharamu! Ni halali! Kwa hakika viuongo vyangu vya uzazi vilinishinda nikabaki nimepigwa butwaa! Mzee alianza kunyanyuka kwa kasi! Vijana tunasema "speed ya light au 3 exponential 10 metres per second"! nilianza kujifinya nikilazimisha machungu lakini wapi! mzee "alidinda" waziwazi huku wakati huo mwalimu R.... alikuwa kajiangalizia zake chini asione makubwa ya dunia!
Kwa kweli nilianza kuuthaminisha mwili wa mwalimu R..... labda ni kwa sababu alikuwa hanitazami.Mwalimu alikuwa kaumbika! Mapaja yake meupe na makubwa ya size yalikuwa na matege yaliyobonyea kuikutanisha miguu! Sehemu ya chini ya miguu na kiuno vilikuwa vimetawanyika kama vinataka kuukimbia mwili! Taulo ilikuwa imefungwa kihasara hasara na kuacha kama mpasuo! mwalimu alikuwa na uso wenye haya. Haiba yake haielezeki labda kwa kuona mwenyewe! Wakati nikiendelea kumthaminisha mwalimu nilianza kuhisi joto la mahaba likitoka miguuni kuvipitia viungo vyangu vya uzazi na kuvisabahi kisha kuelekea juu kurequest wajibu kutoka akilini mwangu! Mbona unachelewa? Humuoni R...? Iliniamuru akili yangu! Akili yangu kweli ilianza ushenzi! yani hata neno mwalimu haitaki tena lisemwe? Eti R.... inatosha!
Ngo...ngo..ngo....ngo..ngo...ngo...Ilikuwa sauti ikigonga mlango......Oooh my God G....ingia chumbani ujifiche mvunguni huyo ni shost wangu kaja! Nilipiga hesabu nikaona hamna option nyingine zaidi ya hiyo.Tutaanza vipi kujieleza katika hali ile? G.....mbona unazubaaa? Alinisisitizia mwalimu R...... Nikaona isiwe tabu nikazama chumbani na kuingia mvunguni mwa kitanda!
"Karibu shost,nilikutegemea tangu muda ule! Why so late?" Ilikuwa ni sauti ya mwalimu R..... ambayo niliisikia nikiwa mvunguni mwa kitanda "Sorry my shost nilikuwa na mishe kidogo" Ilikuwa ni sauti ya mgeni.Sikujua mgeni aliingia muda gani ila zilianza kusikika sauti za maongezi kutoka pande mbili...Kumbe alikuwa ni mwalimu wangu wa English, mwalimu L..............Walikuwa wakiongea huku kwenye TV kukipigwa wimbo ambao niliusikia.Ulikuwa ni wimbo wa Ironik "Stay with me" ambao ulitamba sana G TV enzi zile kabla ya G TV kufa.
Kama kawaida walimu wakisha kutana huwa nikuzungumzia wanafunzi na walimu wenzao...Mwalimu L.....akaanza kuzungumzia darasa lake la form two ambalo lilikuwa na mtihani wa zone baadaye."Unajua mwalimu R....pale form two kuna wanafunzi wanaonibariki kwa kweli! Utakuta mwanafunzi kichwani zimo, ukimuangalia very handsome lakini hata hababaiki na dunia. Ila utakuta lingine kichwani hamna kitu fujo nyingi yani lipolipo tu! wanafunzi aina ya G........wananibariki sana!" Hayo yalikuwa maneno ya mwalimu L.........ambayo niliyasikia nikiwa mvunguni.
Je nini kitaendelea? Ni stori ndefu ya kweli yenye mikasa mingi.......Tukutane tena kesho jioni!
Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
Penzi la raha na mwalimu wangu wa hesabu

Install Application ya Raha Za Wakubwa tu Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
Via
Mahusiano